Pata taarifa kuu
RWANDA-UFARANSA-PAUL KAGAME

Paul Kagame: Uhusiano baina ya Rwanda na Ufaransa unaimarika

Rais wa Rwanda Paul Kagame akizungumza na RFI na France 24, amesema anatumai kuwa uhusiano wa nchi yake na Ufaransa utaendelea kuimarika.

Rais wa Rwanda, Paul Kagame akihojiwa na RFI
Rais wa Rwanda, Paul Kagame akihojiwa na RFI RFI/F24
Matangazo ya kibiashara

Matamshi ya rais Kagame yamekuja baada ya kuchaguliwa kwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi yake Bi. Louse Mushikiwabo kuwa Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa nchi zinazongumza lugha ya Kifaransa La Francophonie, na kuungwa mkono na Ufaransa.

Uhusiano wa mataifa hayo mawili, yalianza kuwa mabaya baada ya mauji ya kimbari mwaka, 1994 wakati rwanda ilipoitumu Ufaransa kuhusika.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.