rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
Afrika Ya Mashariki
rss itunes

Vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu nchini Uganda

Na Julian Rubavu

Makala ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2017 tunaanzia nchini Uganda
ambapo tutaangazia  vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu.

Kusini mwa Uganda kwenye wilaya za Rakai, Kyotera na nyinginezo watu
wanakamatwa, wanachinjwa na kuliwa nyama na binadamu wenzao.

Kuzinduliwa rasmi kwa Elimu ya Juu katika nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki

Maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo (sehemu ya pili)

Miaka 15 tangu kuaga dunia kwa Baba wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Nyerere

mkutano wa viongozi wa madhehebu ya kiislamu toka afrika ya mashariki na kati mjini Bujumbura

Kurejea bungeni kwa wabunge wa bunge maalum la katiba

Sehemu ya pili ya makala maalumu juu ya mashujaa wa Tanzania