rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
Afrika Ya Mashariki
rss itunes

Maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo (sehemu ya pili)

Na Julian Rubavu

Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia sehemu ya pili kuhusu maendeleo ya kijamii katika kijiji cha  Kogelo, kaunti ya Siaya magharibi mwa Kenya, alipozaliwa baba yake Barack Obama

, rais wa Marekani. Utamsikia bibi Sarah Onyango Obama, mama mzazi wa baba wa rais wa Marekani Barack Obama, anazungumziaje kuhusu chimbuko la kiongozi huyo wa Marekani.

Kuzinduliwa rasmi kwa Elimu ya Juu katika nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu nchini Uganda

Changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki

Miaka 15 tangu kuaga dunia kwa Baba wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Nyerere

mkutano wa viongozi wa madhehebu ya kiislamu toka afrika ya mashariki na kati mjini Bujumbura

Kurejea bungeni kwa wabunge wa bunge maalum la katiba

Sehemu ya pili ya makala maalumu juu ya mashujaa wa Tanzania