
Chimbuko la kundi la waasi wa ADF mashariki mwa DRC
Makala haya ni sehemu ya pili kuhusu siku ya wakimbizi duniani, na kwenye kipengele cha le parler Francophone utapata kusikia hapa namna Miradi ya Ufaransa imeendelea kukita mizizi katika mataifa ya Afrika Mashariki. utampata pia mwanamuziki JKhoman wa miondoko ya Reggue nchini Tanzania anavyopeperusha bendera ya kiswahili ulimwenguni kupitia muziki wake wa reggue.