rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
Changu Chako, Chako Changu
rss itunes

Ifahamu Historia ya kanisa

Na Ali Bilali

Juma hili Ali Bilali anazungumza na Reverand Jerome Kanon Napela wa kanisa la kianglikana la mtakatifu Nikolao Ilala, Dar Es Salaam nchini Tanzania ambae ni mwanahistoria ya mambo ya kale anatueleza kuhusu historia ya kanisa. usikosi pia kumfollow Ali Bilali kwa instagram @billy_bilali

Historia ya aliekuwa rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe

Mkutano wa Kimtaifa wamaendeleo ya kiuchumi baina ya Japan na Afrika

Historia ya mapinduzi ya Ufaransa la Fete de la Bastielle

Maadhimisho ya miaka 100 tangu kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia

Fahamu Historia ya Charles Shemererwa Mchoraji aliejiajiri