Pata taarifa kuu
MAREKANI-UFARANSA-IRAN-USALAMA

Trump na Macron wapendekeza mkataba mpya wa nyuklia na Iran

Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron wanapendekeza makubaliano mapya kuhusu mkataba wa kusitisha Iran kuendelea na mradi wake wa Nyuklia.

French President Emmanuel Macron toasts US President Donald Trump during Tuesday's State Dinner at the White House
French President Emmanuel Macron toasts US President Donald Trump during Tuesday's State Dinner at the White House REUTERS/Carlos Barria
Matangazo ya kibiashara

Baada ya mazungumzo kati ya viongozi hao wawili jijini Washington DC, rais Macron amesema ni muhimu kuwepo kwa mkatana mpya ambao utaizuia Iran kutengeza silaha za kemikali na kuthamini ushawishji wake Mashariki ya Kati.

Rais Trump tayari ameonya kuwa hatakubali kuendelea kwa mkataba huo unastahili kuidhinishwa tena tarhe 12 mwezi ujao na Mataifa ya Magharibi, kwa kile anachokisema ni mkataba mbaya.

Mwaka 2015, Iran ilikubali kuacha kuendelea na mradi wake kwa kipindi cha miaka 10, hatua ambayo ilisababisha mataifa ya Magharibi kusitisha vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Tehran.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.