rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa

Nicaragua Daniel Ortega

Imechapishwa • Imehaririwa

Nicaragua yaadhimisha miaka 39 ya mapinduzi

media
Afisa wa polisi, wakati wa maakabiliano na wafausi wa upinzani, huko Masaya, Nicaragua, tarehe 13 Julai 2018. REUTERS/Oswaldo Rivas

Raia wa Nicaragua wanaadhimisha kumbukumbu ya mapinduzi nchini humo yaliyotokea mwaka 1979, licha ya machafuko ya kisiasa nchini humo.


Mapinduzi hayo yalimwondoa madarakani Anastasio Somoza Debayle, aliyekuwa ameongoza nchi hiyo kwa muda mrefu.

Wanasiasa wa upinzani wanasema uongozi wa sasa wa rais Daniel Ortega, wanayemtaka ajiuzulu amekuwa dikteta.

Watu zaidi ya 300 wamepoteza maisha katika makabiliano kati ya maafisa wa usalama na waandamanaji kwa kipindi cha miezi kadhaa iliyopita.