Virusi vya SRAS vyaendelea kuenea China, kesi 140 mpya zaripotiwa
Virusi hatari vinaendelea kusambaa kwa haraka nchini China likiwemo jiji kuu la Beijing na hadi sasa maafisa nchini gumo wanasema kuwa watu zaidi ya 140 wameambukizwa.
Imechapishwa:
Virusi hivyo vimeendelea kuzua hali ya wasiwasi nchini humo, baada ya mara ya kwanza kugungulika katika mji wa Wuhan.
Watafiti wanasema kuwa, vinahusishwa na homa kali inayosabisha ugumu wa kupumua, ambayo kati ya mwaka 2002-2003 ilisabaisha vifi vya watu 650.
Hadi sasa haijathibitsihwa iwapo virusi hivyo vinambukizwa kwa kugusana lakini, watalaam wanasema wanafanya utafiti zaidi.
Hata hivyo, kuna matuamini kuwa, virusi hivyo vinaweza kudhibitiwa na tayari zaiid ya watu mia mbili wameanza kupewa chanjo.