rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
rss itunes

Fahamu Mwaka 2016 Kuvunja Rekodi ya kuwa Mwaka wenye Joto Zaidi

Na Ebby Shabani Abdallah

Kwa mujibu wa ripoti ya WMO imeainisha hali ya joto kidunia imeongezeka mara dufu mwaka 2015/2016 kutokana na dunia kukumbwa na kipindi cha El Nino,
El Nino ni hali ya kuongezeka kwa joto kwenye mstari wa Ikweta katika bahari ya Pacific, kipindi ambacho kinakadiriwa kuwa hujirudia kila baada ya miaka 5, hali hii ilianza kushuhudiwa katikati ya mwaka huu.

Zaidi ya hali ya joto kidunia, viashiria vingine vya mabadiliko ya tabia nchi pia vilionesha kufikia kiwango cha juu, limeonya shirika hili.
Kipindi hiki cha Mazingira Leo kwa jumaa hili kitangazia juu ya Chanzo na Athari za ongezeko hilo la Joto kwa Dunia

 

Fahamu Juu ya Umuhimu wa Madili ya Kutunza Mazingira

Tathmini Fupi ya Mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Marrakesh

Fahamu juu Mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi

Fahamu Juu ya Reporti ya UN ya Namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

Fahamu juu ya Suala la Ukusanyaji Taka katika Mjii wa Nairobi

Sehemu ya Pili:Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa kwenye mabwawa ya kuchimbwa

Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa na mbinu muhimu za kuzingatia

Fahamu Changamoto za Mazingira zinazo likabili Ziwa Victoria

Fahamu Faida na Athari za Kimazingira zitokanazo na kuhamisha Mji Mkuu Dodoma kutoka Dar es Salaam

Fahamu FaidaUfugaji wa nyuki wa kisasa kwa Mazingira

Fahamu Naama ya Kenya Inavyokabiliana na Hali Mabdiliko ya Tabia Nchi

Fahamu Athari Za Mabadiliko ya Tabia Nchi Kwa Viumbe vya baharini na Matumbawe

Changamoto ya Utiririshaji wa Maji Taka Mjini na Naama ya Kukabiliana Nayo

Fahamu Juu ya Madhimisho ya Wiki ya 6 ya Maji Barani Afrika

Fahamu Kilimo cha kijani ( Green house) na Faida zake Kwa Mazingira