Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Fahamu Naama ya Kenya Inavyokabiliana na Hali Mabdiliko ya Tabia Nchi

Imechapishwa:

Mabadiliko ya tabia nchi imekuwa miongoni mwa ajenda kuu za Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifaKwa kuona umuhimu wa suala la mabadiliko ya tabia nchi, Serikali ya Kenya Tayari imeanza kuchukuwa hatua za ufuatiliaji, kufanya tathimini na mbinu mbalimbali za kukabiliana na Athari za Mabdiliko ya tabia Nchi,Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho inagazia juu ya hatua serikali ya Kenya inachukuwa katika kukabiliana na hali ya Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hali ya Ukame kwenye eneo la Turkana
Hali ya Ukame kwenye eneo la Turkana Wikimedia
Vipindi vingine
  • 10:09
  • 09:46
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:57
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.