rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
  • Karibu kesi 6,000 ya udhalilishaji wa kingono ziliripotiwa Uber nchini Marekani mwaka 2017 na 2018 (rasmi)
Mjadala wa Wiki
rss itunes

Rais wa DRC Felix Tshisekedi azuru Ubelgiji kuimarisha uhusiano

Na Victor Melkizedeck Abuso

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi,
yupo ziarani nchini Ubelgiji. Ni ziara yake ya kwanza barani Ulaya, baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa DRC mapema mwaka huu. Tshisekedi yupo nchini Ubelgji, kuhimiza ushirikano kati ya nchi hizo mbili, uhusiano ambao ulikuwa baridi wakati wa uongozi wa rais wa zamani Joseph Kabila.

Je, ziara hii ina umuhimu gani kwa raia wa DRC na kwanini inazua maswali
mengi maswali miongoni mwa raia wa DRC wauishio nje na ndnai ya nchi ?

 Kujadiki hili, tunauganba na Raphae Bakema, mchambuzi wa siasa za DRC na
eneo la Maziwa Makuu, akiwa Goma lakini Profesa Malonga Pacique akiwa
jijini Kgali.
 

Mauaji nchini Ethiopia yanalenga kuharibu mipango ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed ?

Machafuko nchini Sudan, maafa na majeruhi yaripotiwa

DRC yampata Waziri Mkuu baada ya kusubiri miezi mitano

Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu ataka maandamano dhidi ya rais Tshisekedi

Mvutano kati ya Rwanda na Uganda Marekani yatia neno

Mzozo kati ya Rwanda na Uganda kuhusu mpaka wa Katuna

Wananchi wa DRC bado wanasubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu

Raia wa DRC waendelea kusubiri matokeo,mtandao wazimwa