Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Rais Felix Tshisekedi akutana na wawekezaji wa Marekani, Kenya kupambana na mafisadi, uingereza yaomba hadi juni 30 kukamilisha mchakato wa Brexit
Imechapishwa:
Cheza - 20:18
Katika makala hii tumeangazia ziara ya rais wa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi nchini Marekani, hotuba ya rais Kenyatta wa Kenya kuhusu mapambano dhidi ya mafisadi, maadhimisho ya miaka 25 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda, na Uingereza kuomba muda zaidi ili kufanikisha mchakato wa kujiondoa kwenye umoja wa ulaya.