
Chimbuko la kundi la waasi wa ADF mashariki mwa DRC
Makala haya Ali Bilali anakuletea Historia ya aliekuwa Mkurugenzi wa vipindi kwenye kituo cha radio Clauds FM aliefariki duniani wakati akipatiwa matibabu nchini India. utapata pia kufahamu maisha ya watu wa Nigeria, uzoefu wa mtu kutoka Afrika mashariki baada ya kuzuru huko kwa siku kadhaa