rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
Habari RFI-Ki
rss itunes

Mkutano baina ya Rais Paul Kagame na Felix Tshisekedi unaweza kuimarisha uhusiano baina ya Kigali na Kinshasa?

RaisĀ  mpya wa DRC Felix Tshisekedi aekutana kwa mazungumzo na mwenzake wa Rwanda Paul Kagamem, ambaye alitilia shaka kuchaguliwa kwake katika uchaguzi wa Disemba mwaka 2018. Je mkutano bvaina ya viongozi hawa unaweza kuimarisha uhusiano baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda? Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu

Ufaransa na Umoja wa Ulaya utaweza kukomesha mauaji mashariki mwa DRC?

Rais Paul Kagame aonya nchi yoyote itakayochezea amani na usalama wa taifa lake

Ulimwengu waadhimisha siku ya kisukari huku idadi ya watu wanaougua maradhi hayo ikiongezeka

Umoja wa Mataifa wasema kuna hali ya hofu nchini Burundi

Nini kifanyike ili kuzuia biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu?

Kauli ya Donald Trump ilivyoleta hisia tofauti duniani

Nchi za Afrika mashariki zinachukua tahadhari baada ya mlipuko wa ebola nchini Uganda

Kampeni ya waandamanaji kutotii sheria nchini Sudan italazimisha jeshi kukabidhi mamlaka kwa raia?

Moise Katumbi atafanikiwa kuviunganisha vyama vya upinzani nchini DRC?

Siku ya kimataifa ya wafanyakazi yaadhimishwa duniani kote

Dunia ikiadhimisha siku ya wanawake, kundi hilo lina mchango katika kuibadilisha jamii?

Mzozo baina ya Rwanda na Uganda waathiri shughuli za kiuchumi

Mvutano wa Wagombea Urais nchini Nigeria pamoja na Senegal waendelea kujitokeza

Kwanini raia wa Sudan Kusini wanakimbia nchi yao licha ya kuripotiwa kuimarika kwa usalama?

Felix Tshisekedi atangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais DRC