Pata taarifa kuu
DRC-UCHAGUZI-AFRIKA MASHARIKI

Raia wa Afrika Mashariki wafuatilia kwa karibu uchaguzi wa DRC

Uchaguzi wa Kihistoria unaendelea nchini jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lakini unagusa mamilioni ya raia katika eneo la Afrika Mashariki.

Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati yamelalama raia wake kushambuliwa katika mataifa ya Arabuni
Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati yamelalama raia wake kushambuliwa katika mataifa ya Arabuni Encyclopedia Britannica
Matangazo ya kibiashara

Congo inafanya uchaguzi wa kwanza katika historia ambao utakuwa wa kwanza kwa mbadilishano wa madareaka katika taifa hilo lenye idadi ya watu milioni 80.

Taifa hilo linapaka na mataifa manne yanayounda Jumkuiya ya Afrika mashariki, EAC.Mataifa hayo ni Tanzania, Rwanda, Burundi na Uganda

Pia, kupitia mitandao ya kijamii na mijadala katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, baadhi ya raia waliozungumza na RFI Kiswahili wanasema wanatarajia zoezi hilo litatamatika kwa amani na utulivu na pia wamewataka wanasiasa kukubaliana na matokeo.

Zoezi la kupiga kura litatamatika saa 11 kwa saa za DRC kabla ya zoezi la kupiga kura kuanza

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.