Changu Chako, Chako Changu
Nini kilichotokea hadi Jean Pierre Bemba kutuhumiwa mauaji ya kivita jijini Bangui?
Imechapishwa:
Cheza - 19:35
Kiongozi wa waasi wa zamani wa kundi la MLC Jean Pierre Bemba aliekuwa anatuhumiwa mauaji ya kivita huko jijini Bangui aliachiwa huru na makahama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ya ICC. lakini hata hivyo unafahamu nini kilichotokea huko Bangui hadi kumuweka hatiani kiongozi huyo? Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali