rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
Wimbi la Siasa
rss itunes

Rais Joseph Kabila kubadilisha Katiba kuwania tena urais ?

Na Victor Melkizedeck Abuso

Kuna dalili kuwa rais Joseph Kabila wa DRC anapanga kuibadilisha Katiba ili kuwania urais kwa muhula wa tatu. Mabango ya picha ya rais Kabila,  yaliyo na maandishi "Huyu ndio mgombea wetu" yameonekana jijini Kinshasa.

Hii inamaanisha nini ? Tunajadili.

Tume ya Uchaguzi nchini DRC CENI yapata mitambo ya kuwatambua wapiga kura

Maandamano ya Nchi ya Iran na amna Mataifa ya Magharibi Yalivyo na Mkono

Majaji wa Mahakama ya Juu nchini Kenya kuamua hatima ya ushindi wa Kenyatta

Ziara ya Rais Salva Kiir nchini Sudani na changamoto za mgogoro wa kisiasa

Mahakama Kuu nchini Kenya yataka wagombea urais kushiriki uchaguzi

Kenyatta achaguliwa tena Kenya upinzani wakimbilia mahakamani kupinga matokeo

Tume huru ya Uchaguzi Kenya na mchakato wa kutangaza matokeo

Umoja wa Mataifa waonya hali ya usalama Jamhuri ya Afrika ya Kati

Serikali ya Burundi kugomea mazungumzo na hatima ya nchi