Habari RFI-Ki
George Weah atoa ahadi ya kupambana na rushwa na ukosefu wa ajira
Imechapishwa:
Cheza - 09:49
Rais mpya wa Liberia, George Weah ameahidi kupambana na tatizo la rushwa na ukosefu wa ajira.Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ambao wametoa maoni yao kuhusu hotoba ya kiongozi huyo.