Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Maandamano ya kanisa katoliki na wanasiasa wa DRC, upinzani wa Burundi wapinga michango ya Uchaguzi

Imechapishwa:

Katika makala hii tumeangazia kuhusu mgawanyiko ulioshuhudiwa kati ya wanasiasa wa rassemblement wa upande wa waziri mkuu Bruno Tshibala nchini DRC kuhusu maandamano ya jumapili ya january 21, nchini Burundi wapinzani wapinga michango ya wananchi kuhusu uchaguzi nchini humo, Rwanda na Tanzania,zakubaliana kuhusu ujenzi wa reli kati ya mataifa hayo mawili, wakati kimataifa tumeangazia ziara ya rais wa Ufaransa nchini Uingereza, lakini pia siasa za Syria.

Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki lasikitishwa na matokeo ya maandamano ya jumapili tarehe 21 january 2018.
Baraza la maaskofu wa kanisa katoliki lasikitishwa na matokeo ya maandamano ya jumapili tarehe 21 january 2018. REUTERS/Kenny Katombe
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.