
Kuzimwa kwa Internet DRC ni ukiukaji wa haki za binadamu?
Tujikumbushe yale tuliogusia mwaka wa 2017 katika ulimwengu wa sheria na haki za binadamu. Kuna mengi tuliogusia, ila, haya machache yataweza kukupa dira ya namna gani kusonga mbele kwenye mwaka huu mpya wa 2018.