Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Siku 16 ya Kupinga Ukatili wa Kijinsia sehemu ya pili

Imechapishwa:

Mfumo dume sio tu suala la kibaolojia ni mfumo wa unyonyaji na uwonezi. Wataalamu wanaendelea kuchimba juu ya siku kumi na sita ya kupambana dhidi ya kila aina ya ukatili, hususan, ukatili wa kijinsia. Sikiliza uhabarike na uelimike.

Yasmine, moja wa wanawake anayetoa matumaini kwa wanawake wengi baada ya kushinda aina nyingi za unyanyasaji kwenye jamii yake.
Yasmine, moja wa wanawake anayetoa matumaini kwa wanawake wengi baada ya kushinda aina nyingi za unyanyasaji kwenye jamii yake. © Charlie Dupiot
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.