rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
Habari RFI-Ki
rss itunes

Idadi ya wakimbizi wa ndani yaongezeka kila mwaka barani Afrika

Na RFI

Ripoti ya Baraza la kimataifa linalofuatilia wakimbizi la Norway imeeleza kuwa migogoro machafuko na majanga ndiyo huchangia kiasi kikubwa cha watu kuyakimbia makazi yao wakiwa katika nchi zao barani Afrika ambapo nchi za Sudan kusini ,DRC na Nigeria zinatajwa kuwa na idadi kubwa ya watu waliyoyakimbia makazi yao. Hivyo kusabisha watu hao kuishi katika hali duni kutokana na msaada mdogo kutoka kwenye serikali za nchi zao.

Je unazizungumziaje jitihada za kukabiliana na matatizo yanayosababisha watu kuyakimbia makazi yao ?

Mengi zaidi na Sabina Mpelo....

Rais mstaafu wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf atunukiwa tuzo ya Mo Ibrahim

Tamasha la tano la kuhimiza amani lafanyika Mjini Goma nchini DRC

George Weah atoa ahadi ya kupambana na rushwa na ukosefu wa ajira

Rais Museven asema ataanza kusaini tena hukumu ya kifo

Mataifa ya G5 Sahel yasema yako tayari kukabiliana na ugaidi

Umoja wa Ulaya wakosoa Uchaguzi Mkuu nchini Kenya 2017

Kwanini wafuasi wa upinzani nchini DRC hawakujitokeza kuandamana wiki hii ?

Serikali ya Uganda kuajiri madaktari wapya kufuatia kuendelea kwa mgomo

ICC Kuichunguza Burundi licha ya kutokuwa mwanachama

Migomo ya madaktari itamalizwa vipi Afrika mashariki?

Mugabe amtimua makamo wake na kumsafishia njia Bi Grace kurithi kiti chake

Burundi yawa nchi ya kwanza kujiondoa kwenye Mahakama ya ICC