Muziki Ijumaa
Mwanamuziki wa Burundi DJ Pro afunguka zaidi kuhusu Muziki wake
Imechapishwa:
Cheza - 11:47
Makala Muzuki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa Burundi DJ Pro ambae kwa sasa ngoma yake mpya Blaa Blaa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali nchini Burundi na nnje ya nchi hiyo. Sikiliza alivyofunguka zaidi kuhusu kazi zake kwa jumla na tuhuma za kuwadisi wasanii wenzie. Unaweza pia kumfollow Mtangazaji Ali Bilali kwa Instagam kwa kugonga hapa @billy_Bilali