Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Kujiuzulu kwa kamishna wa tume ya uchaguzi Kenya, Kituo cha utamaduni wa ufaransa chazinduliwa Goma DRC
Imechapishwa:
Cheza - 21:15
Makala ya mtazamo wako juma hili imeangazia kujiuzulu kwa mmoja wa makamishna wa tume ya uchaguzi nchini Kenya, Roselyne Akombe; mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu nchini Congo Brazzaville, hali ya kisiasa nchini DRC lakini pia usalama wa Somalia kuendelea kuzorota, wakati kimataifa masha mbulizi ya hivi karibuni nchini Afghanistan.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.