Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

DRC yachaguliwa katika Tume ya Umoja wa Mataifa ya kutetea haki za Binadamu

Imechapishwa:

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imechaguliwa kuwa mwanachama wa Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu. Hatua hii imeifurahisha serikali ya Kinshasa lakini kuyakera mashirika ya kiraia na Marekani ambayo yanasema, kumeendelea kushuhudia ukosefu wa haki za binadamu katika jimbo la Kasai. 

Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu
Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu REUTERS/Andrew Kelly
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.