Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mauaji mapya yaripotiwa Beni Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo

Imechapishwa:

Makala hii ya habari rafiki imeangazia kuzorota kwa usalama mashariki mwa DRC, ambako imeripotiwa kuuawa kwa watu zaidi ya ishirini katika mapigano kati ya jeshi la Congo FARDC na waasi wa Uganda wa ADF wilayani Beni mwishoni mwa Juma lililopita. Hali ya utulivu ilishuhudiwa katika wilaya hiyo baada ya mauaji mengine miaka miwili iliyopita. Wasikilizaji wa DRC wamekuwa wengi kutoa mitazamo yao kuhusu mauaji haya mapya.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi

Kikosi cha askari wa umoja wa mataifa nchini DRC Monusco kutoka Malawi kikipiga doria pembezoni mwa mji wa Oicha kilometa 4 na kambi ya UN
Kikosi cha askari wa umoja wa mataifa nchini DRC Monusco kutoka Malawi kikipiga doria pembezoni mwa mji wa Oicha kilometa 4 na kambi ya UN Sonia Rolley/RFI
Vipindi vingine
  • 09:41
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.