Pata taarifa kuu
NIGERIA-USALAMA

Rais wa Niger atuma salamu za rambi rambirambi kwa familia za askari waliouawa

Siku mbili baada ya kutokea kwa shambulio la kushtukiza dhidi ya vikosi vya ulinzi na usalama kutoka Marekani na Niger, lililogharimu maisha ya wanajeshi watatu wa Marekani na nane wa Niger, rais wa Niger Mahamadu Youssoufou ametuma salamu za rambirambi kwa familia za wahanga waliopoteza maisha katika shambulio hilo.

Rais wa Niger Mahamadou Issoufou.
Rais wa Niger Mahamadou Issoufou. today.ng/news/africa
Matangazo ya kibiashara

Hadi sasa hakuna Kundi lolote ambalo limejigamba kuhusika na shambulio hilo ambalo hata hivyo Abou Walid alsarawi raia wa Mali aliejiengua kutoka kundi la Murabitun lililojiunga na kundi la islamic state.

Mahamadu Yousoufou amesema hawatokatishwa tamaa na mashambulizi ya aina hiyo.

Imekuwa vigumu hadi sasa kufahamu nini kilichotokea mbali na kwamba shambulio hilo lilikuwa kubwa kiasi kwamba washambuliaji wengi walipoteza maisha.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.