Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Wanaharakati wa shirika LUCHA waandamana kuitaka CENI kutangaza kalaneda ya Uchaguzi DRC

Imechapishwa:

Makala habari rafiki hii leo imeangazia maandamano yaliyoitishwa na Wanahara kati wanaopigania mabadiliko ya kisiasa na demokra sia nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, LUCHA Jumatatu hii ya Julai 31 wakiitaka tume ya uchaguzi nchini humo CENI kuhakikisha inatangaza kalenda ya uchaguzi mwaka huu wa 2017.Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Corneille Nangaa alisema hakuna uwezekano wa kufanyika kwa uchaguzi mwaka huu, kwa sababu CENI haijakamilisha daftari la wapiga kura kwenye majimbo ya Kasai.Karibu kuungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka.

Vijana wanaharakati wa LUCHA wakiwa mbele ya mahakama ya mjini Goma, « Free Lucha », February 22 2016.
Vijana wanaharakati wa LUCHA wakiwa mbele ya mahakama ya mjini Goma, « Free Lucha », February 22 2016. RFI/Sonia Rolley
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.