Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Rais Donald Trump aapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani
Imechapishwa:
Cheza - 21:10
Makala hii imeangazia kuapishwa kwa rais Donald Trump kuwa rais wa 45 wa Marekani punde baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi novemba mwaka wa jana, lakini pia kupatikana kwa mwafaka wa mwanzo kuhusu utekelezwaji wa makubalia no ya desemba 31 mwaka jana huko DRC, na hatua ya rais Yahya Jammey wa Gambia kukubali kuondoka nchini na kupewa hifadhi nchini equatorial Guine.