Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kuapishwa kwa rais Yoweri Museveni wa Uganda, mahakama ya kikatiba kutangaza uamuzi wake huko DRC

Imechapishwa:

Ni wiki ambayo imeshuhudia kuapiashwa kwa rais Yoweri Museveni kuendelea kuongoza nchi hiyo kwa miaka mitano ijayo, baada ya kuiongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka thelathini, sherehe ambazo zilishuhudiwa na maelfu ya raia wa Uganda, wakiwemo viongozi kadhaa wa bara la Afrika.Na huko DRCongo mahakama ya kikatiba wiki hii imesema kuwa Joseph Kabila anaweza kubaki madarani baada ya mwaka 2016 endapo uchaguzi wa rais hautafanyi ka mwaka huu.Pia katika uga wa kimataifa rais Dilma Rousseff, anayeshtumiwa kutumia kinyume cha sheria mali ya Umma ili kurahisisha kuchaguliwa kwake kwa mara nyingine katika uchaguzi wa mwaka 2014, kuwekwa kando na senet.Karibu kuungana na mwandishi wetu kusikiliza.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni punde baada ya kuapishwa kwake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni punde baada ya kuapishwa kwake RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.