Pata taarifa kuu
TUNISIA-USALAMA

Polisi 4 na washukiwa 3 wa kijihadi wauawa Tunisia

Polisi wanne na washukiwa watatu wa Kijihadi wameuawa baada ya operesheni ya kiusalama Kusini mwa nchi ya Tunisia.

Vikosi vya usalama vya Tunisia vikfanya ukaguzi wa magari katika mji wa Ras Jedir, kwenye mpaka na Libya, Machi 22..
Vikosi vya usalama vya Tunisia vikfanya ukaguzi wa magari katika mji wa Ras Jedir, kwenye mpaka na Libya, Machi 22.. FATHI NASRI / AFP
Matangazo ya kibiashara

Wizara ya Mambo ya ndani inasema mauaji hayo yalitokana baada ya makabiliano makali kati ya polisi na wanajihadi hao.

Mbali na hilo, watu wengine kumi na sita walikamatwa katika mji wa Ariana wakiwa wamejihami kwa silaha.

Wanajihadi na maafisa wa polisi wamekuwa wakikabiliana na maafisa wa usalama tangu mwaka 2011 baada ya mapinduzi dhidi ya serikali iliyopita.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.